SAFARI YA KIFO -SEHEMU YA NNE
SIMULIZI: SAFARI YA KIFO
SEHEMU
YA NNE
Ghafla Michael alishangaa lile jitu
lilipomkaribia likidondoka huku likivuja damu kichwani.Aliinua macho yake
kuangalia aliyekuja kumsaidia na wala hakuamini macho yake.
Tunaendelea…
"Ibrah?......" Michael
alibaki ameduwaa kisha haraka Ibrah alimvaa yule mtu na kuanza kumchinja bila
woga, kana kwamba Ibrah amezoea kuchinja watu namna ile...!
Michael alikuwa haamini
anachokiona, baada ya Ibrah kukitenganisha kile kichwa kisha akaamka na kumnyanyua
Michael aliyekuwa hajiwezi, wakavuka barabara na kujificha kaitka mti mmoja
hivi kisha Ibrah na Michael wakachungulia.
Walimuona yule mama wa mgahawa
akitoka nje, akausogelea mwili wa yule mtu aliyechinjwa na Ibrah huku akilia. walipogeuza
macho yao mahala alipodondoka Allen waliona watu wawili wakiwa wamevaa makoti
yaleyale wakimbeba Allen na kumuingiza ndani kwao. Kisha baada ya dakika 2
wakatoka vijana 6 ambao walikuwa wamevaa makoti vilevile wakiwa wameshika
kichwa cha Allen na mmoja akaanza kukitafuna Michael alitaka kupiga kelele
lakini Ibrah alimzuia kwa kuwa hakukuwa na usalama pale, Michael mbabe
alishuhudia kichwa cha rafiki yake Allen kikiliwa kibichi alilia sana kisha
wale watu wakarudi ndani na yule mama.
"Wapo sita," Ibrah
aliongea kumwambia Michael, ambaye alijibu kwa kutikisa kichwa tu.
"Hapa itabidi kesho tutafute
kijiji kwaajili ya kuomba mafuta ili kesho hiyo hiyo turudi dar tu kwa
kweli" Aliongeza Ibrah.
Kisha akamnyanyua Michael na kuanza
kurudi naye walipokuwa mwanzo kwa wenzao. Leyla alikuwa akilia tu akidhani kuwa
Ibrah naye ameshauwawa wanafunzi walikuwa wakilia sana wakihesabu kupoteza watu
wengine.
Raphael alimbembeleza sana huku
moyoni mwake naye akiingiwa na woga kuwa Ibrah yawezekana amefariki kweli, maana
amekawia sana. vilio vilitawala na woga mkubwa ulitanda kwa wale waliobaki.
"Wale pale" Mwanafunzi
mmoja alisimama na kunyoosha kidole mahala ambapo, Ibrah alikuwa anakuja akiwa
amembeba Michael, ambaye kwa wakati ule alikuwa amepoteza fahamu zake.
Leyla alisimama haraka na
kumkimbilia Ibrah, kisha wanafunzi wote nao wakisimama kushangazwa na lile
tukio la Ibrah kurudi akiwa amembeba Michael mbabe.
"ilikuwaje?" Kila
mwanafunzi alikuwa akimhoji swali lile Ibrah lakini Ibrah alikaa chini na
kushusha pumzi ndefu bila kujibu chochote alichoulizwa.
"Ibrah niambie, Allen wangu
yupo wapi, yupo wapi Allen?" Tina ambaye alikuwa ni msichana mweusi kiasi,
mrembo haswa (yani black beauty) aliuliza kwa hamaki huku akianza kulia, aliikunja
fulana ya Ibrah akimpiga piga kifuani...
"Allen wangu yupo wapi?"
Ibrah alianza kukumbuka jinsi wale
watu walivyokuwa wanakula kichwa cha Allen kisha akaanza kulia
"Usilie Ibrah niambie ukweli, yupo
wapi Allen" Tina aliendelea kuuliza huku akilia.
"Allen sikumuona kipindi
namchukua Michael, maana hata Michael nilimkuta porini akiwa hana fahamu, ndipo
nikambeba ili nije nae". Ibrah aliamua kudanganya ili aepushe hofu kwa
wenzake.
Tina hakutaka kukubali na kudai
kuwa Ibrah anafahamu yaliyomkuta Allen, wanafunzi walimbembeleza sana Tina.
Huku wengine wakimpa huduma za mwanzo Michael ili azinduke na kuwaeleza
chochote.
" msile kichwa chake, msimle
kichwa chake Allen " michael alizinduka baada ya kuweweseka kutokana na
matukio ya kutisha aliyoyaona, kisha akaona wenzake wamenzunguka.
"Ameshaamka"alisema leyla
ambaye ndiye aliyemfanya Michael azinduke kwa kumpa huduma ya kwanza.
Wenzake walisogea huku Tina
akimfuata Michael na kuanza kumlaumu kwanini yeye amerudi peke yake na
alikwenda na Allen.
Wakati huo Ibrah hakuwepo, aliaga
kutoka mara moja, Michael aliwasimulia kila kitu kilichojiri bila kuficha na
kuwaambia kuwa wasimueleze Ibrah chochote kuwa wamegundua yeye ndiye aliyetoa
msaada. wanafunzi walibaki kushangaa Yale waliyoyasikia kutoka kwa Michael
mbabe.
Kisha wakaanza kumfariji Tina, aliyekuwa
akilia tu. Giza la saa 2 usiku liliwakuta pale pale wakiwa wamewasha moto na
wakamuona Ibrah akiwa amerudi na mnyama aina ya digi digi, alienda kuwinda na
kumpata huyo mnyama, kisha akamuweka chini.
Wanafunzi walimtazama Ibrah kama
mtu pekee ambaye ndiye mwokozi wao, japo yeye hakugundua hilo.
" Michael umeshaamka?"
Aliuliza huku akimsogelea Michael,
"Ndio tayari nipo vizuri
sasa" aliongea Michael ambaye Alikuwa na mawazo mengi kichwani kuwa
"Huyu Ibrah ndio yule
niliyekuwa nikitaka kupigana naye Mara kwa Mara?! Mbona ana hatari sasa, hivi
siku ile ambayo lecture asingetuamulia si ningekufa Mimi?! Mbona hataki
kuonyesha uwezo wake sasa?!" Alijiuliza maswali mengi mfululizo, yaliyokosa
majibu.
Wanaume kadhaa walimchuna yule digi
digi kisha akachomwa katika moto na baada ya saa 1, wakaanza kupata nyama choma
huku wakikumbushiana stori za chuo na kujikuta wakicheka.
Usingizi uliwachukua wote majira ya
saa 7:30 za usiku, kisha Tina akaamka ili akakojoe.
Hakumuaga mtu yoyote, alitoka kimya
kimya kisha akaanza kukojoa. wakati anakojoa alihisi kuna mtu anamfuata, aligeuka
na kutaka kupiga kelele lakini alizuiwa kwa kufumbwa mdomo na yule dereva wa
ile gari.
"Usiogope wewe,nimekuona
wakati unainuka kuja kukojoa huku, nikaamua nikufuate mrembo.." Yule
dereva aliongea vile kwa sauti ya chini huku akianza kuchezea nywele laini za
Tina.
Alianza kusogeza mdomo wake kwenye
lips tamu za Tinah zilizopambwa kwa lipstick inayong'aa hata kama ni usiku, kisha
Tina akaupokea vyema na kuanza kunyonyana ndimi zao.Dereva aliunyonya vyema
ulimi wa binti huyo huku wakianza kutoana baadhi ya nguo, dereva alihamia
kwenye shingo ya Tina na kuilamba vyema huku akimnyonya kwa mahaba, alimnyonya
masikio, kitovu,mpaka akasogea kifuani na kuanza kuyabinya binya matiti madogo
ya Tina,huku akizinyonya chuchu zake.
Ilikuwa ni utamu mtupu kwani Tina
alikuwa akitoa miguno tu..
"aaassss yes baby
oooouuhhh"
Dereva alimgeuza Tina na kumlaza
kifudi fudi huku akimlamba mgongoni na kushusha ulimi mpaka kiunoni, alifanya
hivyo Mara kadhaa kisha akaanza kuyalamba mapaja kwa nyuma, mpaka akaufikia
uchi wa Tina na kuanza kuunyonya. Tina alisikia utamu uliomfanya mpaka awe
anafumba macho. Dereva alimgeuza Tina na kumlaza chali, yani mtindo wa kifo cha
mende.
Kisha akauchukua mdude wake
uliosimama vyema kwa hamu za mrefu bila kufanya mapenzi, na kuuingiza taratibu
ktk uchi wa Tina kisha akaanza kumsugua taratibu.
Wakati yote yanaendelea,Tina
alifumba macho kuusikilizia utamu anaoupata, Mara akafumbua macho ili amnyonye
ulimi Dereva, kisha akamuona mtu amesimama nyuma ya yule Dereva akiwa amevaa
koti refu (yani prova) akiwa ameshika shoka.
Wakati anapiga kelele, yule mtu
alimkata kwa shoka yule Dereva, kisha Tina naye akapigwa shoka la uso pale
pale,alafu jamaa likakimbia kwenda kujificha ktk mti na kuacha shoka ktk kichwa
cha Tina.
Zile kelele zilisikika kisha
wanafunzi wote wakaamshana na kusogea mahala waliposikia zile kelele.
"Tumeshachelewa" Alisema Ibrah
huku akizikimbilia zile maiti, zilizokuwa uchi na kuvuja damu. wanafunzi
wengine walianza kulia kwa woga haswa wanawake ambao walishindwa kabisa
kuitazama ile miili.
"Hirizi yangu inadunda
kuonesha ishara ya hatari,inaonekana huyu kiumbe hayupo mbali" Michael
alimsogelea Ibrah na kumnong'oneza sikioni. Mara ghafla Ibrah akatazama katika
mti mmoja kisha wakagongana uso kwa uso na lile jitu ktk mti lililoanza
kukimbia.
Je,kwanini lile jitu lilianza
kukimbia?! Unadhani ibrah na Michael mbabe wataliacha Leo?!
Itaendelea
Kesho Saa 12 Jioni
Comments
Post a Comment